PICHA NA MATUKIO YA IBADA YA LEO TAREHE 31/12/2017 FPCT CHAMWINO IKULU

Mchungaji Braiton akihubiri somo liitwalo USIOGOPE
Mtumishi Ezekiel Masagasi akishuhudia jinsi Mungu alivyomuokoa kutoka dhambini.
... akiendelea na ushuhuda
Mtumishi wa Mungu Robert akijitambulisha

Mzee wa Kanisa Maganga Nelson akisisitiza jambo
Vijana waliomwamini Mungu na wako tayari kwa ajili ya Ubatizo wakitambulishwa mbele ya Kanisa tayari kwa kubatiza kesho asubuhi
 .... utambulisho ukiendelea
... wakiendelea kujitambulisha
Maganga Nelson ambaye ni Mzee wa kanisa akimshukuru Mungu mara baada ya kijana Ezekiel kushuhudia juu ya makuu ambayo Mungu amemtendea maishani mwake
Mchungaji Braiton akihubiri mapema leo
..... Mahubiri yakiendelea
Mtumishi wa Mungu akiendelea na ufundishaji mapema leo
Previous
Next Post »