PICHA NA MATUKIO 36 YA MIBARAKA YA JUMAPILI FPCT CHAMWINO IKULU NA PASTOR ELIA TIMOTHY

Pastor ELIA TIMOTHY akiwa na Mzee wa Kanisa Eng. MAGANGA kanisani FPCT CHAMWINO - IKULU.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari CHAMWINO IKULU HIGH SCHOOL wakimsifu Mungu.
Waumini wakisikiliza kwa makini.
Waimbaji wakimsifu Yesu kwa sauti zao.
PASTOR ELIA TIMOTHY akiendelea na huduma ya Maombezi kwa watu mbalimbali.
Waumini wakiendelea kufuatilia kinachoendelea kanisani.
Mtumishi wa Mungu PASTOR ELIA akisisitiza jambo.
Mchungaji BRYSON MASAGASI akiomba.
Mwimbaji akiongoza nyimbo za Tenzi na Nyimbo za Injili.
.........Wakimuimbia BWANA.
Pastor ELIA TIMOTHY akiwa na Mchungaji mwenyeji Pastor BRYSON MASAGASI kanisani FPCT CHAMWINO IKULU.
Mwalimu na Mwinjilisti GERVAS akisoma Neno la Mungu.
Pastor ELIA TIMOTHY akiwaombea watu wenye matatizo anuai na wote walifunguliwa na kuachwa huru.
wamama waombolezao wakimuita Mungu.
Eng. MAGANGA akisisitiza jambo kanisani.
Waumini wakimsifu na kumtukuza YESU KRISTO.
Ibada ya sifa ikiendelea kanisani.
Pastor ELIA TIMOTHY akiendelea kuwaombea waumini mbalimbali waliohudhuria ibadani.
Waumini wakimuomba Mungu kwa machozi.
Mama akiimba na kumsifu Mungu.
Mwanafunzi huyu akimuomba Mungu.
Mzee wa kanisa Eng. MAGANGA.
PASTOR ELIA TIMOTHY.
Pastor ELIA TIMOTHY akihubiri.
Maombi yakiendelea.
Pastor ELIA TIMOTHY akihubiri.
Wakati wa sifa na kuabudu.
Huduma ya maombezi ikiendelea.
wakimwomba MUNGU.
Waumini wakisikiliza kwa makini.
Maombi yakiendelea kanisani.
Pastor ELIA TIMOTHY akimuombea dada DEBORA.
Pastor ELIA TIMOTHY akisoma Neno la Mungu.
Dada DEBORA akimuita Mungu.
Pastor Elia na Eng. MAGANGA wakisisitiza jambo.
Pastor ELIA TIMOTHY akiwaombea watoto.
Previous
Next Post »