PICHA 34: Ilivyokuwa ibada kuu Jumapili Tarehe 29 2017 FPCT Chamwino

January 29 2017 ilikuwa Jumapili iliyofurika mibaraka kwa BWANA kuonekana hapa FPCT Chamwino mjini DODOMA, katika ibada hiyo iliyohudumiwa na Pastor Elia Timothy BWANA alidhihirika kwa kiwango cha juu kwa watu kufunguliwa

katika ibada hiyo Pastor Elia alifudisha juu ya mwana wa Mungu kutolegea bali uamini kwamba atauona wema wa BWANA na alitembea/alisoma katika kitabu cha 2Wakoritho 4:16 na Zaburi 27:13 

mbali na watu kubarikiwa kwa maneno ya Mungu hayo pia tulikuwa na baraka ya kutembelewa na waimbaji wa kwaya ya Dar es Salaam Gospel Choir 'DGC' na waimbaji wengine kama;-Faustine John, Enock Mweta toka Dar Bro Elly, Chibaluwa, Magreth Massawe, Vision Gospel Singers wa Dodoma fuatana nasi katika picha hapa chini kupata taswira halisi ilivyokuwa katika ibada hiyo na Mungu akubariki sana
...wakati wa sifa
...maombezi
...Pastor Elia akifundisha










..kwaya ya DGC ikitoa huduma


....DGC wakifurikisha mibaraka

...uimbaji ukiendelea




...DGC wakiendelea na huduma ya uimbaji








''Kanisa hili lipo AREA 'A' jirani na City Secondary DODOMA karibu sana uabudu pamoja nasi Jumapili hii mpendwa na siku zingine za ibada katika juma'' tutafurahi sana iwapo utashiriki ibada pamoja nasi Jumapili hii.
Previous
Next Post »