PASTOR ELIA TIMOTHY NDANI YA FPCT CHAMWINO IKULU KESHO JUMAPILI TAREHE 26 / 03 / 2017

Kwa mara nyingine tena Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta wa Bwana PASTOR ELIA TIMOTHY toka kanisa la FPCT CHAMWINO DODOMA atakuwepo katika kanisa letu la FPCT CHAMWINO IKULU kutuhudumia. Ewe mpendwa uliye mbali unakaribishwa katika viwanja vya kanisa la FPCT CHAMWINO IKULU mapema kesho tarehe 26/03/2017 ili uweze kukutana na Mungu, leteni wagonjwa na wenye matatizo mbaliambali nao wataombewa kwani katika Mlima wa Bwana Itapatikana. MWANZO 22:14

PASTOR ELIA TIMOTHY akiendelea na huduma ya Mungu

 PASTOR ELIA TIMOTHY
Previous
Next Post »