PASTOR ELIA TIMOTHY
Karibu sana ibadani Jumapili hii tar 26/03/2017 ndani ya kanisa la FPCT CHAMWINO - DODOMA. Mungu wa mbinguni yupo tayari kukuhudumia. Tutakuwa na Ibada mbili ya kwanza itaanza saa 3:00 mpaka saa 3:30 Itakuwa ni Ibada ya Maombi na Ibada kuu itaanza saa 3:30 asubuhi mpaka saa 07:00 mchana. Watu wote mnakaribishwa..
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Dada Rhoda Mahewa atakuwepo
Pastor Elia Timothy atakuwepo kukuhudumia
Wamama waombelezao nao watakuwepo kumuita Bwana
Usikose, Kwaya ya Wamama itakuwepo kukuburudisha
Watumishi wa Mungu toka pande zote nne za Dunia watakuwepo kumtukuza Mungu.
Ni wakati wako sasa Karibu Uabudu pamoja nasi.
FPCT CHAMWINO DODOMA. Katika Mlima wa BWANA itapatikana Mwanzo 22:14
ConversionConversion EmoticonEmoticon