IBADA YA USHIRIKA NA MEZA YA BWANA FPCT CHAMWINO IKULU

Mtumishi wa Mungu Eng. Maganga akiwaongoza waumini kushiriki Meza ya Bwana.

Ibada ya Kushiriki meza yya Bwana ikiendelea kanisani FPCT CHAMWINO - IKULU.

Ushuhuda wa miujiza ya Mungu kanisani.

Uimbaji wa Kumsifu Mungu ukiendelea.

PRAISE TEAM wakimsifu Mungu kwa njia ya uimbaji.

Kusifu na kuabudu kukiendelea ndani ya kanisa la FPCT CHAMWINO - IKULU.

Mchungaji BYRSON MASAGASI akiwaongoza waumini katika Ibada ya ushirika na Meza ya Bwana.

Eng. Maganga (Kulia) akifuatilia ushuhuda ndani ya kanisa.

Ibada ya kushiriki meza ya Bwana ikiendelea kanisani.

Mchungaji Bryson Masagasi (kushoto) na Eng. Maganga (kulia) wakibariki Mmkate na divai tayari kwa ajili ya waumini kuweza kushiriki meza ya Bwana.

Huduma ya Maombezi yakiendelea kanisani chamwino - Ikulu.

Maombi yakiendelea kanisani.

Mrs. Maganga akishiriki meza ya bwana kanisani Chamwino - Ikulu.

Ushuhuda ukiendelea kanisani.

Mtumishi wa Mungu Pastor Bryson Masagasi akiubariki mkate wa Yesu tayari kwa ajili ya waumini kuweza kushiriki meza ya Bwana.

Mchungaji akiwaongoza waumini kuweza kushiriki meza ya Bwana.

Mchungaji akibariki divai tayari kwa ajili ya watu kuweza kushiriki.

Meza ya Bwana ikiendelea kanisani FPCT CHAMWINO - IKULU.

Waumini wakiendelea kushiriki meza ya Bwana.

Mchungaji BRYSON MASAGASI akiwaongoza waumini katika kushiriki Meza ya BWANA
Previous
Next Post »