Mtumishi wa Mungu Pastor Elia Timothy (katikati) Akiimba sambamba na Mzee wa kanisa Mwaila.
Waumini wa kanisa la FPCT Chamwino Dodoma wakimtukuza BWANA
Wamama wakimtukuza BWANA
Watu wakimwabudu Mungu katika Ibada ya leo jumapili
Wakati wa Sifa na Kuabudu
Brother Elly akimsifu Mungu kwa kupiga gitaa sambamba na wapiga vyombo wenzake Daniel Daud (Keyboard) na Isack (Gitaa)
Wapiga vyombo wakimtukuza Mungu kupitia huduma zao
Mtumishi wa Mungu Isack akipiga gitaa la solo na kumtukuza Mungu
Dada Grace Mtaha akimwimbia Mungu kwa Sauti yake
Mrs. Lawson akimsifu Mungu kwa Kigelegele
Watumishi wa Mungu wakimsifu Mungu kwa Kumwabudu
Kiongozi wa Ibada Ndg Lawson akiongoza kipindi cha Sifa na Kuabudu
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania na Afrika Mashariki Dada Rhoda Mahewa (Mwenye suti nyeusi) akiwa na waimbaji wa PRAISE TEAMwakimsifu na kumtukuza MUNGU.
Askofu Mathayo Timoth (Kushoto ) na Mzee Langbory wakisikiliza kwa Makini kile ambacho Mungu anasema nao leo
Kwaya ya wamama wakimwimbia Mungu
Mzee wa kanisa MAGULU akitoa Matangazo mapema leo kanisani
Mzee Langbory akiwakaribisha wageni walioabudu pamoja nasi leo.
Wakati wa sifa na Kuabudu
Mchungaji Elia Timothy akiwaongoza waumini katika kuomba
Wamama wakimwabudu Mungu katika Roho na Kweli
Wamama waombolezao wakimwabudu Mungu katika Roho na kweli
Ibada ya Kusifu na Kuabudu ikiendelea
Mzee Magulu akimwomba Mungu
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bro. Elly Timothy akimwabudu Mungu
Mtumishi wa Mungu Shukrani akimwomba Mungu
Mwimbaji Naftari Mahewa akiimba na waimbaji wengine wa PRAISE TEAM kanisani leo
Pastor Elia Timothy akimwomba Mungu
Waumini wakimwabudu Mungu katika Ibada ya leo
Mama Paranjo akimwabudu Mungu
Mtumishi wa Mungu Elia Timothy akiimba kwa hisia wakati wa kumwabudu Mungu
Waumini wakisalimiana kanisani
Waumini wakiwa na furaha hemani mwa Bwana leo
Mchungaji Elia Timothy akitabasamu kwa Furaha juu ya ushindi wa YESU aliouona Maishani mwangu.
Mtumishi wa Mungu Elia Timothy akisisitiza jambo leo
Mtumishi wa Mungu Elia Timothy akimwomba Mungu mapema leo katika kanisa la FPCT CHAMWINO - DODOMA.
ConversionConversion EmoticonEmoticon